• TDB kuikopesha Tanzania Sh. bilioni 900 kujenga Miundombinu

   Ujumbe wa Serikali ya Tanzania na Benki ya TDB kwenye picha ya pamoja

 • TDB kuikopesha Tanzania Sh. bilioni 900 kujenga Miundombinu

   Ujumbe wa Serikali ya Tanzania na Benki ya TDB ukiwa katika Mkutano

 • Dkt. Kijaji azindua kambi ya Wanafunzi kupata mafunzo Kondoa

  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji akielezea uboreshaji wa elimu

 • Dkt. Kijaji azindua kambi ya Wanafunzi kupata mafunzo Kondoa

  Wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza hadi ya kumi Kondoa, Dodoma.

 • Spika Ngugai, awataka viongozi wa Dini kudumisha amani

  Spika Job Ndugai, akisisitiza umuhimu wa watanzania kuvumiliana kwenye masuala ya dini

 • Spika Ngugai, awataka viongozi wa Dini kudumisha amani

  Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akielezea umuhimu wa vijana kuzingatia elimu

 • Serikali yapokea gawio la sh. Bilioni 10.1

  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, akikabidhiwa hundi na NMB

 • Serikali yapokea gawio la sh. Bilioni 10.1

  Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, katika picha ya pamoja na wadau wa Wizara hiyo na NMB

 • Ufaransa kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa Sh. Trilioni 1.3

  Naibu Waziri Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, akifurahia jambo na Mkurugenzi AFD, Bw. Remy Rioux

 • Ufaransa kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa Sh. Trilioni 1.3

  Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, akipokea kitabu cha miaka 10 ya AFD

 • Ufaransa kuipatia Tanzania mkopo nafuu wa Sh. Trilioni 1.3

  Wajumbe wa Tanzania na Ufaransa wakiwa katika mjadala Jijini Dodoma

 • Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango 2018/19

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na wengine wakifurahia kupitishwa kwa Bajeti.

 • Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango 2018/19

  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip I. Mpango akiwa na Watumishi wengine wa Wizara hiyo.

 • Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango 2018/19

  Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akijibu hoja za Wabunge

 • Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango 2018/19

  Mhe. Dkt. Philip I. Mpango, akionesha Kitabu cha Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano

 • Wizara Ya Fedha Yaliomba Bunge Shilingi Trilioni 12.058 Mwaka Wafedha 2018/19

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake, Bungeni Jijini Dodoma.

 • Wizara Ya Fedha Yaliomba Bunge Shilingi Trilioni 12.058 Mwaka Wafedha 2018/19

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake.

 • Wizara Ya Fedha Yaliomba Bunge Shilingi Trilioni 12.058 Mwaka Wafedha 2018/19

  Baadhi ya viongozi wa Waziri wa Fedha na Mipango, wakifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo, ambapo Bunge limeombwa, kuiidhinishia Wizara hiyo kukusanya na kutumia shilingi trilioni 12.058.

 • Wizara Ya Fedha Yaliomba Bunge Shilingi Trilioni 12.058 Mwaka Wafedha 2018/19

  Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.  Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakifutilia kwa makini michango ya waheshimiwa wabunge walioanza kuchangia Bajeti ya Wizara hiyo

 • Wizara Ya Fedha Yaliomba Bunge Shilingi Trilioni 12.058 Mwaka Wafedha 2018/19

  Mhe. Martha Mlata, Mbunge wa Viti Maalum wa Jimbo la Singida, akimpongeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), baada ya kuwasilisha Bungeni Mjini Dodoma.