Waziri wa Fedha. Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), akimpa zawadi Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, Bi. Victoria Kwakwa, anayekaribia kumaliza muda wake.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Ubalozi wa Ujerumani nchini na Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW)
TANZANIA NA JAPAN ZAISAINI MKATABA WA MSAADA WA BILIONI 27.3 KUSAIDIA SEKTA YA AFYA
HAZINA YETU - TOLEO LA PILI MWAKA 2024/25
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu (Mb) na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa, wakionesha Hati za Mkataba iliyosainiwa kati ya Tanzania na Japan kusaidia Kilimo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Kulia), akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe. Yasushi Misawa, jijini Dodoma