Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Meneja Mkazi wa AfDB, Dkt. Patricia Laverley wakisaini Mkataba wa USD milioni 161.47 , kwa ajili ya mradi wa Umeme Kakono (MW 88), mkoani Kagera
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Royal Africa Society, Dkt. Nicholas Westcott (kushoto) wakati wa Mkutano na wafanyabiashara wa Uingereza.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akimkabidhi Kamishna wa Biashara wa Uingereza, Mhe. John Humphley, jarida la mafanikio ya miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Ujumbe wa Tanzania walipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Ufaransa mjini Doha nchini Qatar.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na Naibu Waziri wa Uchumi - Estonia Mhe. Mariin Ratnik walipokutana , mjini Doha nchini Qatar.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete wakisaini Mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu na msaada.