Category Title
-
18 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT , CAP 423, R.E 2022
-
18 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2022.
-
18 Feb, 2023THE ELECTRONIC TRANSACTIONS ACT, CAP 442 R.E. 2022
-
18 Feb, 2023THE_FINANCE_ACT_2022
-
17 Feb, 2023FINANCE ACT- 2021 - Amendment of Government Loans, Guarantees and Grant, Act
-
16 Feb, 2023CHAPTER 439-THE BUDGET ACT.doc FINAL REVISED 2020
-
16 Feb, 2023CHAPTER_290-THE_LOCAL_GOVERNMENT_FINANCE_ACT-01
-
16 Feb, 2023PUBLIC FINANCE ACT, CAP 348 RE 2020
-
16 Feb, 2023THE ANTI-MONEY LAUNDERING ACT, CAP 423 R.E. 2019
-
16 Feb, 2023THE BANKRUPTCY ACT, CAP 25 R.E 2019
-
View All
-
19 Jun, 2024THE PUBLIC FINANCE (MANAGEMENT OF PUBLIC PROPERTY) REGULATIONS, 2024
-
17 Feb, 2023KANUNI ZA MSAMAHA WA RIBA YA MALIMBIKIZO YA KODI YA PANGO LA ARDHI ZA MWAKA 2022
-
17 Feb, 2023THE-PUBLIC-FINANCE-GOVERNMENT-e-PAYMENT-GATEWAY-REGULATIONS-2019
-
16 Feb, 2023AMLA Regulations, June 2022 (GN 397)
-
16 Feb, 2023GN No 121-Public Procurement (Amendment) Regulations April ,2016
-
16 Feb, 2023GN.68 OF 2008- Government loans Regulations
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA VYA KIJAMII) LA MWAKA 2019
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA (WATOA HUDUMA NDOGO WASIOPOKEA AMANA) LA MWAKA 2019
-
16 Feb, 2023KANUNI ZA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA TOZO YA MIAMALA YA FEDHA YA KIELETRONIKI ZA MWAKA 2022
-
16 Feb, 2023Public Procurement Ammendment_Act_2016
-
View All
-
10 Dec, 2024MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2025.26
-
12 Feb, 2024PLAN AND BUDGET GUIDELINE FOR 2024/25
-
17 Nov, 2023MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25
-
08 Sep, 2023GUIDELINES FOR RISK MANAGEMENT IN PSE, 2023
-
08 Sep, 2023GUIDELINES FOR FRAUD RISK MANAGEMENT FRAMEWORK IN THE PUBLIC SECTOR ENTITIES, 2023
-
12 May, 2023Compensation Claims Settlement Guidelines 2023
-
02 Dec, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22
-
13 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2020_21
-
View All
-
03 Jan, 2025Midterm Review MoF Strategic Plan Final 2025-26.
-
24 May, 2024ENVIRONMENTAL AND SOCIAL COMMITMENT PLAN (ESCP) FAST PROJECT
-
24 May, 2024FINANCIAL ACCESS FOR SUSTAINABLE AND TRANSFORMATIONAL (FAST) GROWTH
-
28 Jul, 2023MPANGO WA TAIFA WA MAENDELEO 2023/2024
-
11 Jul, 2023Tanzania’s 2023 Voluntary National Review (VNR) Report on the Implementation of the 2030 Agenda for Sustainable Development
-
10 Jul, 2023Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021.22
-
17 Jan, 2023Mwongozo wa Kitaifa wa Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo
-
21 Dec, 2022MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023-24 (2) (1) (1)
-
19 Dec, 2022REVISED STRATEGY FOR MANAGEMENT OF ARREARS
-
29 Nov, 2022PFMRP VI STRATEGY
-
View All
-
Government Budget Speeches
-
Ministry's Budget Speeches
-
17 Feb, 2023SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2022-23
-
14 Jun, 2022BUDGET SPEECH 2022-23 ENGLISH VERSION
-
08 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2021-22
-
08 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
-
08 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2021-22
-
07 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2020-21
-
07 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2020-21
-
06 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2019-20
-
06 May, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2018-19
-
06 May, 2022HOTUBA YA BAJETI KUU MWAKA 2018-19
-
View All
-
07 Jun, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2023-24
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2022-2023
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2021 - 2022
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2020 - 2021
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2016 - 2017
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2015 - 2016
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2014- 2015
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadirio ya Mapato na matumizi 2006 - 2007
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2018-2019
-
17 Feb, 2023Hotuba ya Wizara ya Fedha na Mipango ya Makadio ya Mapato na matumizi 2017-2018
-
View All
-
27 Dec, 2024THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF THE YEAR 2024/25
-
08 Nov, 2024BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FOURTH QUARTER_2023-24
-
31 May, 2024BUDGET EXECUTION REPORT QUATER 3- 2023-24
-
03 Apr, 2024BUDGET EXECUTION REPORT SECOND QUARTER FOR 2023_24
-
23 Jan, 2024BUDGET EXECUTION REPORT Q1 2023-24
-
28 Nov, 2023BUDGET EXECUTION REPORT FOR 2022_23 (JULY 2022 TO JUNE 2023)
-
31 May, 2023THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2022/23 (JULY 2022 TO MARCH 2023)
-
11 Apr, 2023THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2022/23
-
28 Nov, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE FIRST QUARTER OF 2022/23 (JULY TO SEPTEMBER 2022)
-
27 Sep, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE 2021/22 (JULY 2021 TO JUNE 2022)
-
View All
-
14 Nov, 2024KITABU CHA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2024_25 TOLEO LA MWANANCHI
-
10 Oct, 2023GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2023/2024
-
04 Aug, 2023KEY POINTS OF TAX POLICIES IN THE 2023/24 BUDGET SPEECH - CITIZEN EDITION
-
26 Jul, 2023BUDGET INSIGHTS 2023_24
-
16 Aug, 2022Citizen Budget 2022_23 English
-
03 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2021/2022
-
02 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2020/2021
-
01 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2019/2020
-
28 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2018/2019
-
25 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2017/2018
-
View All
-
Budget Books 2024/2025
-
Budget Books 2023/2024
-
Budget Books 2022/2023
-
Budget Books 2021/2022
-
Budget Books 2020
-
Budget Books 2018/2019
-
Budget Books 2015/2016
-
Budget Books 2014/2015
-
23 Oct, 2024volume I 2024-25 as passed by Parliament
-
26 Aug, 2024Vol II Recurent Expenditure As Passed 202425
-
26 Aug, 2024Vol III Recurrent Expenditure As Passed 202425
-
26 Aug, 2024Vol IV Development Expenditure As Passed 2024_25-2
-
03 May, 2024Vol I Revenue Estimates as Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol II Reccurent Expenditure As Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol III Recurrent Expenditure As Submitted 2024.25
-
19 Apr, 2024Vol IV Development Expenditure As Submitted 2024.25
-
View All
-
28 Aug, 2023Vol II Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
-
28 Aug, 2023Vol III Recurrent Expenditure As Passed 2023.24
-
28 Aug, 2023Vol IV Development Expenditure As Passed 2023.24
-
04 Apr, 2023VOL II Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
-
04 Apr, 2023VOL III Recurrent Expenditure As Submitted 2023-24
-
04 Apr, 2023VOL IV Development Expenditure As Submitted 2023.24
-
View All
-
07 Nov, 2022VOLUME I REVENUE_ESTIMATES_2022_23 AS PASSED BY THE PARLIAMENT
-
10 Oct, 2022As Passed Volume II 2022_23
-
10 Oct, 2022As Passed Volume III 2022_23
-
10 Oct, 2022As passed Volume IV 2022_23
-
19 Jul, 2022Revenue_estimates_22_23
-
07 Jun, 2022VOLUME II As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME III As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME IV As Submitted 2022_23
-
View All
-
29 Jun, 2022VOLUME IV AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
01 Jun, 2022VOLUME II AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
31 May, 2022VOLUME III AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
07 Mar, 2022VOLUME II ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (MINISTERIAL)
-
06 Mar, 2022VOLUME III ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (REGIONAL)
-
05 Mar, 2022VOLUME IV PUBLIC EXPENDITURE ESTIMATES DEVELOPMENT VOTES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (Ministerial and Regional Development Programmes)
-
04 Mar, 2022VOLUME I Financial Statement & Revenue Estimates for the year from 1 July 2021- to 30th June 2022
-
03 Mar, 2022VOLUME II Estimates of Public Expenditure Consolidated Fund Services and Supply Votes (Ministerial) - 2021.22
-
28 Feb, 2022VOLUME III Estimates of Public Expenditure Supply Votes (Regional) - 2021-22
-
27 Feb, 2022VOLUME IV Public Expenditure Estimates Development Votes (Ministerial and Regional Development Programmes ) - 2021.22
-
View All
- Content not found
-
03 Mar, 2022VOLUME I - FINANCIAL STATEMENT AND REVENUE ESTIMATES 2018-19
-
02 Mar, 2022volome II 2018_19
-
28 Feb, 2022Volume III 2018_19
-
27 Feb, 2022volome IV 2018_19
-
26 Feb, 2022KITABU CHA MKAKATI WA KUZIWEZESHA HALMASHAURI KUJITEGEMEA KIMAPATO
-
View All
-
03 Mar, 2022Volume II -as passed 2014-15
-
02 Mar, 2022Volume III -as passed 2014-15
-
01 Mar, 2022volume IV-as passed 2014-15
-
View All
- Content not found
- Content not found
-
13 Mar, 2023MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2023/24 NA MFUMO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2023/24
-
17 Feb, 2023HOTUBA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2021 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2022-23
-
View All
-
11 May, 2023REPORT BY THOSE CHARGED WITH GOVERNANCE AND CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS FOR THE YEAR ENDED 30TH JUNE, 2022
-
25 Oct, 2022Financial statements and compliance audit of public debt and general service (vote 22) for the financial year ended 30 June 2021
-
25 Oct, 2022Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2020
-
25 Oct, 2022Financial statements of public debt and general services (vote 22) for the financial year ended 30 June, 2019
-
10 Jun, 2022CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS 30 JUNE 2021
-
03 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2020"
-
02 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2019"
-
28 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2018
-
27 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2017
-
View All
-
06 Nov, 2024UFANISI WA MIFUKO NA PROGRAMU ZA SERIKALI ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
-
06 Nov, 2024MATOKEO YA HUDUMA ZA UWAKALA WA BENKI KATIKA UKUAJI WA SEKTA NDOGO YA BENKI TANZANIA
-
View All
-
17 Feb, 2023Enhanced-SP-Portal-User Manual
-
17 Feb, 2023GePG-Helpdesk-User-Manual
-
17 Feb, 2023GePG-LUKU-Portal-User-Manual
-
17 Feb, 2023GePG-POS-APP-USER-MANUAL
-
17 Feb, 2023GEPG-RECONCILIATION-TOOL-USER-MANUAL
-
View All
-
13 Jun, 2024HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2023
-
28 Jul, 2023ECONOMIC SURVEY REPORT -2023-24
-
15 Jun, 2023ECONOMIC SURVEY 2023
-
14 Jun, 2023ECONOMIC SURVEY 2022.
-
14 Jun, 2023KITABU_CHA_HALI_YA_UCHUMI_WA_TAIFA_KATIKA_MWAKA_2022
-
14 Jun, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA 2021
-
12 Jun, 2022Hali ya Uchumi wa Taifa 2020
-
28 Feb, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2018
-
27 Feb, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2017
-
View All
-
21 May, 2024MAREKEBISHO YA KANUNI ZA PPP 2023
-
21 May, 2024MAREKEBISHO YA SHERIA YA PPP, 2023
-
21 May, 2024MKAKATI WA UTEKELEZAJI WA SERA YA PPP
-
15 May, 2022Approved PPP Regulations, 2020
-
15 May, 2022PPP ACT RE 2018
-
15 May, 2022PPP Policy 2009
-
View All
SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA SH. BILIONI 36.1 KUTOKA CRDB

Na. Peter Haule na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amepokea gawio la shilingi bilioni 36.1 kutoka Benki ya CRDB na kuahidi kutumia fedha hizo katika kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo sekta ya elimu, afya na miundombinu.
Dkt. Nchemba aliyasema hayo jijini Dodoma wakati akipokea gawio la jumla ya shilingi bilioni 36.1 kutoka Benki ya CRDB, ikiwa ni gawio kwa mwaka 2021 linatokana na uwekezaji ambao Serikali imefanya ndani ya Benki kwa kushirikiana na mfuko wa Uwekezaji wa pamoja na Serikali ya Denmark (DANIDA) pamoja na Taasisi na Mashirika mbalimbali ya umma.
Fedha hizo zimekuja kwa wakati mwafaka baada ya Bunge kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa Fedha 2022/23 na kwamba fedha hizo zitasaidia kutekeleza bajeti hiyo.
Aidha alisema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuimarisha na kuweka mazingira rafiki na endelevu ya kufanya biashara katika sekta ya fedha ili kuiwezesha sekta hiyo kutoa mikopo kwa sekta za uzalishaji kwa lengo la kuwezesha taasisi hizo kutoa mikopo yenye riba nafuu itakayowezesha kuongeza uzalishaji na ajira kwa wananchi.
Vilevile amewataka watu wote wanaokopa katika taasisi za fedha kuhakikisha wanalipa, kwa kuwa utaratibu wa kukwepa kulipa ni jambo ambalo halikubaliki kwa kuwa utapeli unachafua taswira ya nchi.
“Utapeli unasababisha vikwazo kwa watu wengine ambao nao wanahaki ya kupata mikopo ambayo ingewasaidia kupata mitaji na kujishughulisha katika shughuli mbalimbali za kiuchumi ambazo zingechochea maendeleo na kuimarisha uchumi wa nchi”, alisema Dkt. Nchemba.
Pia ameipongeza Benki hiyo kwa kupunguza riba katika mikopo ya kilimo kutoka asilimia 20 hadi asilimia 9, kupunguza riba katika mikopo ya wafanyakazi na wastaafu kutoka asilimia 16 hadi asilimia 13.
Vilevile kuingia mkataba na Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa (UNGCF) wa jumla ya dola za Marekani milioni 200 kuwezesha wakulima nchini kufanya kilimo stahimilivu kupitia Programu ya Matumizi ya Teknolojia Endelevu za Kilimo Tanzania (TACADTP).
Kwa upande wao Manaibu Mawaziri wa TAMISEMI, Mhe. David Silinde na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Patrobas Katambi, wamezipongeza Halmahauri ambazo zimeongeza ubunifu kwa kuwekeza Hisa katika Benki ya CRDB kwa kuwa wameongeza wigo wa mapato.
Naye Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Mhe. Lawrance Mafuru, alisema kuwa miongoni mwa viashiria vya kukua kwa uchumi ni ongezeko la mikopo katika Sekta binafsi. Sekta ya Benki mpaka Aprili mwaka huu imekua kwa asilimia 13 na benki tano za juu ambazo zinafanya vizuri ni za watanzania hivyo kuwa na uhakikia na matokeo chanya ya uchumi wa nchi.
Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, alisema kuwa Benki hiyo inatoa gawio la Sh. bilioni 36.1 kwa Serikali na Taasisi zake ambapo Mfuko wa Ushirikiano wa Serikali na DANIDA umepata shilingi bilioni 19.7, Mfuko wa Hifadhi kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) shilingi bilioni 11.8 Mfuko wa Hifadhi ya Taifa (NSSF) – shilingi milioni 501.9 na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) shilingi milioni 827.2.
Aidha Uwekezaji kupitia Serikali za Mitaa ni pamoja na Mfuko wa Maendeleo wa Lindi shilingi milioni 535.5, Halmashauri ya Manispaa ya Mbinga shilingi milioni 5.8, Manispaa ya Shinyanga milioni 60.2 na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi shilingi milioni 3.2.
Halmashauri zingine zilizopata mgao ni pamoja na Wilaya ya Chunya na Rungwe pia Local Government Loans Board, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Umoja Fund Unit Trust Scheme na Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Tumbaku Kanda ya Magharibi na kufanya jumla ya gawio lililotolewa Serikalini kufikia shilingi bilioni 36.1
Benki ya CRDB imeendelea kuimarika na kuongeza faida kila mwaka na kusababisha kuongezeka kwa gawio la wanahisa kutoka Shilingi 22 kwa hisa moja kwa mwaka 2020 hadi Shilingi 36 kwa mwaka 2022 ikiwa ni ongezeko la asilimia 64%.
Mwisho.