Category Title
-
01 Mar, 2022The Microfinance (Saving and Credit Cooperative Societies) Regulations, 2019
-
01 Mar, 2022The Microfinance (Non- Deposit Taking Microfinance Service Providers) Regulations, 2019
-
28 Feb, 2022The Microfinance (Community Microfinance Groups) Regulations, 2019
-
View All
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23
-
28 Feb, 2022MWONGOZO WA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2021/22
-
13 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2020_21
-
12 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2018_19
-
12 Nov, 2021Mwongozo 2018_19
-
12 Nov, 2021Mwongozo 2019_20
-
11 Nov, 2021Guidelines For Preparation of Plans and Budget 2017_18
-
05 Nov, 2021Budget Guideline 2008 - 09 Part II
-
05 Nov, 2021Budget Guideline 2008 - 09 Part I
-
05 Nov, 2021Budget Guideline 2009 - 10 Part II
-
View All
-
14 Jun, 2022Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022.23
-
02 Mar, 2022Implementation Strategy for the National Development Plan 2016/17 – 2020/21 Volume IV - Communication strategy April, 2018.
-
01 Mar, 2022Implementation Strategy for the National Five - Year Development Plan 2016/17 – 2020/21 VOLUME II
-
28 Feb, 2022M&E Strategy of the 2nd FYDP
-
27 Feb, 2022The Action Plan of Implementation of the 2nd FYDP
-
View All
-
14 Jun, 2022SPEECH OF GOVERNMENT BUDGET FOR 2022-23 ENGLISH VERSION
-
01 Mar, 2022BUDGET SPEECH ENGLISH - 2021/22
-
28 Feb, 2022BUDGET SPEECH ENGLISH
-
View All
-
02 Jun, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2021/22 (JANUARY - MARCH 2022)
-
30 Apr, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE SECOND QUARTER OF 2021/22
-
29 Apr, 2022BER Q1 2021- 22-FINAL
-
02 Mar, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT 2020/21 (JULY 2020 TO JUNE 2021)
-
01 Mar, 2022Budget Execution Report (BER) for the First Quarter of 2020-21
-
01 Mar, 2022The Budget Execution Report for the Second Quarter of 2020/21
-
01 Mar, 2022The Budget Execution Report for the Third Quarter of 2020/21
-
28 Feb, 2022THE BUDGET EXECUTION REPORT FOR THE THIRD QUARTER OF 2018/19 (JANUARY – MARCH, 2019)
-
01 Jan, 2022Budget Execution Report for the First Quarter 2019-20
-
01 Jan, 2022Budget Execution Report for the Forth Quarter 2018-19
-
View All
-
03 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2021/2022
-
02 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2020/2021
-
01 Mar, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2019/2020
-
28 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2018/2019
-
25 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2017/2018
-
20 Feb, 2022GOVERNMENT BUDGET CITIZENS’ EDITION 2016/2017
-
View All
-
Budget Books 2022/2023
-
Budget Books 2021/2022
-
Budget Books 2020
-
Budget Books 2018/2019
-
Budget Books 2015/2016
-
Budget Books 2014/2015
-
Economic Survey Books
-
07 Jun, 2022VOLUME II As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME III As Submitted 2022_23
-
07 Jun, 2022VOLUME IV As Submitted 2022_23
-
View All
-
29 Jun, 2022VOLUME IV AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
01 Jun, 2022VOLUME II AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
31 May, 2022VOLUME III AS PASSED BY PARLIAMENT 2021.22
-
07 Mar, 2022VOLUME II ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (MINISTERIAL)
-
06 Mar, 2022VOLUME III ESTIMATES OF PUBLIC EXPENDITURES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (REGIONAL)
-
05 Mar, 2022VOLUME IV PUBLIC EXPENDITURE ESTIMATES DEVELOPMENT VOTES AS PASSED BY THE PARLIAMENT 2021.2022 (Ministerial and Regional Development Programmes)
-
04 Mar, 2022VOLUME I Financial Statement & Revenue Estimates for the year from 1 July 2021- to 30th June 2022
-
03 Mar, 2022VOLUME II Estimates of Public Expenditure Consolidated Fund Services and Supply Votes (Ministerial) - 2021.22
-
28 Feb, 2022VOLUME III Estimates of Public Expenditure Supply Votes (Regional) - 2021-22
-
27 Feb, 2022VOLUME IV Public Expenditure Estimates Development Votes (Ministerial and Regional Development Programmes ) - 2021.22
-
View All
- Content not found
-
03 Mar, 2022VOLUME I - FINANCIAL STATEMENT AND REVENUE ESTIMATES 2018-19
-
02 Mar, 2022volome II 2018_19
-
28 Feb, 2022Volume III 2018_19
-
27 Feb, 2022volome IV 2018_19
-
26 Feb, 2022KITABU CHA MKAKATI WA KUZIWEZESHA HALMASHAURI KUJITEGEMEA KIMAPATO
-
View All
-
03 Mar, 2022Volume II -as passed 2014-15
-
02 Mar, 2022Volume III -as passed 2014-15
-
01 Mar, 2022volume IV-as passed 2014-15
-
View All
-
14 Jun, 2022HALI YA UCHUMI WA TAIFA 2021
-
02 Mar, 2022Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2021.22
-
28 Feb, 2022KITABU CHA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2018
-
27 Feb, 2022KITABU CHA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KWA MWAKA 2017
-
View All
- Content not found
- Content not found
-
14 Jun, 2022HOTUBA YA HALI YA UCHUMI WA TAIFA KATIKA MWAKA 2021 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2022-23
-
14 Jun, 2022BUDGET SPEECH 2022-23 ENGLISH VERSION
-
View All
-
10 Jun, 2022CONSOLIDATED FINANCIAL STATEMENTS 30 JUNE 2021
-
03 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2020"
-
02 Mar, 2022Audited Consolidated Financial Statements for the year ended 30th June, 2019"
-
28 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2018
-
27 Feb, 2022Audited Consolidated Financial Statements for year ended 30th June, 2017
-
View All
DKT. MWIGULU NCHEMBA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UFARANSA

TAARIFA KWA UMMA
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ametoa wito kwa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, kuwekeza nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo cha mafuta ya kula.
Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo jijini Dar es Salaam, alipokuna na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Shirikisho hilo unaouhusisha kampuni 41 uliopo nchini kwa mwaliko wa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alioutoa wakati wa ziara yake aliyoifanya nchini Ufaransa hivi karibuni.
Dkt. Nchemba alisema kuwa nchi inakabiliwa na uhaba wa mafuta ya kula kutokana na uzalishaji mdogo wa alizeti na mawese pamoja na athari za vita baina ya Urusi na Ukraine, vilivyosababisha bei ya mafuta kupaa na kwamba Serikali iko tayari kuwapa ardhi kwa ajili ya kilimo hicho.
“Kwa kuzingatia hali iliyotokea duniani baada ya uviko 19 na haya ambayo yanaendelea ya mzozo wa nchi mbili, Urusi na Ukrein, ambao ni wazalishaji wakubwa wa mafuta ya kula; nitoe wito kwa wawekezaji kuwa Tanzania inaweza kulisha dunia kwa suala la mafuta ya kula mkiwekeza kwenye eneo hilo” alisema Dkt. Nchemba
Alisema kuwa kuna mikoa zaidi ya nane inayofaa kwa uzalishaji wa mafuta ya alizeti na mikoa mingine zaidi ya minne inayofaa kwa kilimo cha mawese na kuwaalika wawekezaji hao kuchangamkia fursa hiyo ili kutosheleza soko la ndani na kuilisha dunia.
“Nchi ambazo zinazalisha sana mafuta ya kula, ukizilinganisha kwa fursa, hazijaifikia Tanzania; kwa hiyo tunachohitaji ni uwekezaji ili tuweze kufidia pengo lililopo katika dunia kwa sasa la upatikanaji wa mafuta ya kula” alisisitiza Mhe. Dkt. Nchemba.
Alitoa wito kwa wawekezaji hao kutoka Ufaransa kushirikiana na kukutana na sekta binafsi ya Tanzania ili kungalia maeneo ya kuwekeza pia kwa pamoja na kwamba Serikali iko tayari kutoa ushirikiano wa kila hali ili kufaninikisha uwekezaji wao katika sekta mbalimbali walizojipanga kuja kuwekeza.
“Sisi Wizara ya Fedha na Mipango tumeifanyikazi changamoto ya utozaji kodi mara mbili na suala hilo liko hatua za mwisho za maamuzi, na tutatekeleza nyenzo ya blue print ili kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji na kufanyia biashara; tunawahakikishia kwamba tutashirikiana na sekta binafsi kwa sababu sekta hiyo ndio injini ya kukua kwa uchumi” aliongeza Dkt. Nchemba.
Dkt. Nchemba, alisisitiza kuwa wawekezaji kutoka Ufaransa na kwingineko wanakaribishwa kuwekeza hapa nchini katika sekta mbalimbali kwa sababu kuna fursa nyingi za uwekezaji katika kilimo lakini pia katika sekta nyingine kama vile ujenzi wa miundombinu, maliasili, bandari, uvuvi na usafirishaji na kwamba kuna soko la uhakika hapa nchini, Afrika Mashariki na nchi za SADC, hatua itakayo saidia pia kukuza ajira kwa vijana.
Naye Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa aliyeambatana na ujumbe huo, Mhe. Samuel Shelukindo, alisema kuwa wawekezaji hao wameona fursa kubwa ya kuwekeza katika nyanja mbalimbali na kwamba wako tayari kuwashawishi wawekezaji wengine kuja kutafuta fursa hiyo ikiwemo sekta ya kilimo cha uzalishaji wa mafuta ya kula.
“Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, alifanya ziara ya kikazi nchini Ufaransa tarehe 10 hadi 14 mwezi Februari mwaka huu na alikutana na wafanya biashara na wawekezaji ambapo katika mazungumzo yao aliwakaribisha Tanzania ili waangalie maeneo ya uwekezaji na kufanya biashara. Ujumbe huu mkubwa wa takribani makampuni 40 wamekuja kwa ajili ya kuitikia wito huo” alisema Mhe. Balozi Shelukindo.
Kwa Upande wa Makamu Mwenyekiti wa Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi ya Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, Bw. Gerard Wolf, alisema wamekuwa na mazungumzo na Mawaziri wa Sekta mbalimbali na kwamba wako tayari kuwekeza katika sekta mbalimbali nchini Tanzania likiwemo eneo la uchumi wa bluu, sekta ambayo alisema wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa nchini kwao.
Alizitaja sekta nyingine ambazo Shirikisho hilo limevutiwa nazo kuja kuwekeza kuwa ni nishati, maji, ujenzi wa miundombinu, teknolojia ya habari na mawasiliano pamoja na kilimo na kuahidi kuwa watapeleka ujumbe kwa kampuni nyingine zaidi ili zije kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na michikichi.
Imetolewa na:
Benny Mwaipaja
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Fedha ya Mipango