Mkataba wa huduma kwa wateja kuboreshwa
Wizara ya Fedha na Mipango kuboresha mkataba wa huduma kwa wateja.
WB yatakiwa kuwekeza kwenye miradi ya kimkakati
Dkt. Mpango: Benki ya Dunia iwekeze fedha kwenye miradi ya kimkakati ya Serikali.
WB yaipatia Tanzania mkopo wa dola milioni 450
Benki ya Dunia yaipatia Tanzania mkopo nafuu wa dola milioni 450 kusaidia Kaya masikini.
WB yatakiwa kusaidia Sekta ya Kilimo
Dkt. Mpango aitaka Benki ya Dunia kusaidia Sekta ya Kilimo nchini Tanzania.
Wafanyabiashara Manyara wakunwa na utendaji wa Serikali
Wafanyabiashara Manyara wakunwa na utendaji wa Rais Magufuli-waahidi kulipa kodi kwa hiari.