Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu (Mb) na Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa, wakionesha Hati za Mkataba iliyosainiwa kati ya Tanzania na Japan kusaidia Kilimo.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Kulia), akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe. Yasushi Misawa, jijini Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Nusu Mwaka 2024/25 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (Katikati), akikabidhiwa tuzo ya shukrani na Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIA), Dkt. Zelia Njeza (Kushoto)
PAKUA JARIDA LA HAZINA YETU TOLEO LA KWANZA MWAKA 2024/25
Waziri wa Fedha, Mhe, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Katikati), akizindua moja ya nyaraka zilizoandaliwa za Sekta ya Fedha